

Lugha Nyingine
法拉利旗舰LaFerrari敞篷版将亮相上海车展 限售3台
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 22, 2025
![]() |
Picha ya droni iliyopigwa Machi 7, 2025 ikionyesha mandhari ya Mlima Fanjing katika Mji wa Tongren, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China. (Picha na Li He/Xinhua) |
TONGREN - Mlima Fanjing katika Mji wa Tongren, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China ni Eneo la Urithi wa Dunia ambalo linachukua eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 775. Mlima huo si tu ni dirisha la kufahamisha mageuzi ya kijiolojia kusini mwa China lakini pia hutumika kama kizuizi cha usalama wa kiikolojia katika sehemu za kati na za juu za Mto Yangtze.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma